Home > Terms > Swahili (SW) > mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (CMS)

mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (CMS)

Mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (CMS) ni kifaa cha programu ambacho hutoa usimamizi na utawala wa uandishi, ushirikiano na kufanya otomatiki uzalishaji wa waraka. CMS hurusu nambari kubwa ya waandishi na wafanyi kazi wengine wa maarifa kufanya kazi kwa kushirikiana kuchangia kuendeleza yaliyomo. Hukuza udhibiti mzuri kwa kuinua yaliyomo yaliyoko, ufanisi uliohimarika kwa kuzuilia juhudi rudufu na za kujirudia, na gharama za uandishi kijumla zilizopunguka. CMS pia hufanya utafsiri wa yaliyomo kuwa rahisi zaidi kwa sababu hutenganisha matini kutoka kwa tagi ya uumbizaji.

Ikijumlishwa na XML, CMS hurusu yaliyomo kukuzwa mara moja na kuchapishwa kwa aina mbali mbali ya matokeo kama vile wavuti, PDF au nyaraka zilizochapishwa.

0
Lisa minu sõnastikku

Mida öelda tahate?

Arutelude loomiseks tuleb sisse logida.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Sõnastikud

  • 1

    Followers

Valdkond/domeen: Festivals Category: Easter

Pasaka

Tamasha la wakristo ya kila mwaka katika maadhimisho ya ufufuo wa Yesu Kristo, husherehekewa Jumapili ya kwanza baada ya mwezi kamili ya kwanza baada ...

Featured blossaries

Saponia Osijek

Kategooria: Business   1 28 Terms

Gothic Cathedrals

Kategooria: History   2 20 Terms