Home > Terms > Swahili (SW) > Wiki Takatifu

Wiki Takatifu

Wiki kabla ya Jumapili ya Pasaka na wiki ya mwisho ya Kwaresima. Wakati wa Wiki Takatifu, matukio ya wiki ya mwisho ya maisha ya Yesu duniani inakumbukwa, na ni pamoja na sikukuu za kidini ya • Jumapili ya matawi • Def ( Alhamisi Takatifu) • Ijumaa Kuu • Jumamosi Takatifu Haiko pamoja na Jumapili ya Pasaka, ambayo ni siku ya kwanza ya msimu mpya wa Eastertide.

0
  • Sõnaliik: noun
  • Sünonüüm(id):
  • Blossary:
  • Valdkond/domeen: Festivals
  • Category: Easter
  • Company:
  • Toode:
  • Akronüüm-lühend:
Lisa minu sõnastikku

Mida öelda tahate?

Arutelude loomiseks tuleb sisse logida.

Terms in the News

Featured Terms

Jonah Ondieki
  • 0

    Terms

  • 0

    Sõnastikud

  • 1

    Followers

Valdkond/domeen: Culture Category: Popular culture

Mpendwa Abby

Mpendwa Abby ni jina la sehemu ya ushauri kwenye gazeti iliyoanzishwa mwaka 1956 na Pauline Philips chini ya jina Abigail Van Buren Sehemu hii iliweza ...